Kamati ya Kudumu ya Bunge yaridhia utendaji taasisi ya elimu.
Na Timoth Anderson Kamati ya kudumu ya Bunge ya Elimu,Utamaduni na Michezo imeridhishwa na utekelezaji na usimamizi wa programmu na miradi mbalimbali inayotekelezwa na Taasisi ya Elimu ya watu Wazima…
Waziri Mkuu ashuhudia kazi ya kuzoa tope ikianza
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo (Jumanne, Desemba 5, 2023) ameshuhudia kazi ya kusomba matope kwenye mji mdogo wa Katesh, wilayani Hanang, mkoani Manyara, ikianza kwenye barabara kuu ya kutoka Babati…
Waliofariki katesh wafika 63, majeruhi 116
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema idadi ya watu waliokufa kutokana na maporomoko ya udongo wilayani Hanang, mkoani Manyara imefikia 63 na majeruhi 116. “Kati ya waliofariki wanaume ni 23 na…
IFM YATAKIWA KUBUNI NA KUBORESHA MITAALA YAO
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande, akizungumza na wahitimu wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) wakati wa Mahafali ya 49 ya chuo hicho yaliyofanyika, jijini Dar es…
Wahitimu wa CBE waaswa kujiepusha Madawa ya kulevya
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashill Abdallah ametoa wito kwa wahitimu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kujiepusha na tabia hatarishi , makundi yasiyofaa ikiwemo matumizi…
DKT. MADUHU AWAKILISHA MKUTANO WA BARAZA LA IOM
NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Maduhu Kazi (kushoto), akiwa na Balozi na Naibu Mwakilishi wa Kudumu Geneva, Hoyce Temu katika Mkutano wa 114 wa…
Wadau waendelea kujitokeza kuchangia Maafa Hanang’
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama ameelekeza watendaji wa Idara ya Menejimenti ya Maafa katika ofisi hiyo kuhakikisha wanaweka utaratibu wa kimfumo…
Witness Technological History in the Making
What’s possible in a week? If you dedicated seven days to the achievement of one goal, how ambitious could you make this goal? These were the questions that the multilingual…
Kikwete,Frigenti wakutana na Waziri wa Elimu
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE), Mhe.Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu…
Serikali yachukua hatua za awali kukabili maafa Hanang’ Manyara
SERIKALI kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu imechukua hatua za haraka kwa wahanga wa maafa yaliyosababishwa na maporomoko ya tope yaliyotokea tarehe 03 Disemba, 2023 ambapo yalitoka…