MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAOMBWA KUTOA UJUZI KWA WATAALAM WA VITUO
Dar es Salaam(Juni 09, 2025,)Madaktari Bingwa wa Rais Samia pamoja na kutoa huduma za kibingwa kwa wananchi pia wametakiwa kuwajengea uwezo wataalam wanaowakuta kwenye vituo walivyopangiwa. Mkuu wa Wilaya ya…
Bunge lapitisha trilioni 20.19 Wizara ya Fedha
Dodoma -Juni 4 2025 (Mfanyakazi) Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha bajeti ya Wizara ya Fedha kwa Mwaka wa Fedha 2025-2026 ya kiasi cha Sh. trilioni 20.19 kwa…
SERIKALI YAJA NA MKAKATI WA KUTOA HUDUMA ZA AFYA BURE KWA WANANCHI WASIO NA UWEZO
Dodoma (Mfanyakazi). Serikali imeeleza kuwa inaendelea kuchukua hatua madhubuti za kuhakikisha wananchi wasio na uwezo wanapata huduma za afya bila kikwazo cha fedha, kwa mfumo utakaofanana na utoaji wa elimu…
Sokoine achaguliwa Kamati kuu CCM
Mtoto wa aliyekuwa Waziri Mkuu,Mstaafu hayati,Edward Moringe Sokoine,ndugu Namelock Edward Sokoine amechaguliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa(NEC) kuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa. Taarifa iliyotolewa…
Dkt Molel awaita wagonjwa wa macho
Taasisi ya Dkt. Godwin Mollel kwa kushirikiana na Mo Dewji Foundation zimetoa huduma ya bure ya matibabu ya macho kwa wananchi zaidi ya 3,000 katika Hospitali ya Wilaya ya Siha,…
Rais Chapo kuongeza fursa Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Francisco Chapo anatarajia kuanza Ziara ya kiserikali ya siku tatu kuanzia 07,Mei,2025,nchini Tanzania kufuatia mwaliko wa Rais wa Tanzania,Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan. Taarifa…
DKT. DORIYE AONGOZA KIAPO CHA AHADI YA UADILIFU KWA VIONGOZI WA UMMA.
Na Mwandishi wetu,Arusha Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) Dkt. Elirehema Doriye leo t ameiongoza Menejimenti ya Mamlaka hiyo kwenye zoezi la kiapo cha…
MABEYO: WAKIJA WATAFURAHIA MAISHA
Na Mwandishi wetu, Msomera Tanga. Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) inafuatilia kwa karibu ujenzi wa miundombinu ikiwemo makazi na huduma zingine za mahitaji…
UNFPA yapinga vifo vinavyoweza kuzuilika
Jamii inapaswa kupata haki ya afya ya uzazi,uwezeshaji wa wanawake na wasichana ili kuweka mazingira endelevu kwa kutatua changamoto mbalimbali zinazowzakabili kulingana na kutokuwepo kwa ulinganifu katika usawa wa kijinsia.…
Saidieni wajane kiuchumi-Mhe Fatma
Taasisi za Serikali na binafsi zimeombwa kushiriki juhudi za kuwawezesha wajane kliuchumi zinazofanywa na Jumuia ya Wajane Zanzibar (ZAWIO). Wito huo umetolewa na Jaji wa Mahakama kuu Zanzibar Mhe. Fatma…