WAKULIMA MILIONI 2 WASAJILIWA KWENYE MFUMO WA M- KILIMO – BASHE
Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema wizara imefanikiwa kutekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu utambuzi wa wakulima ambapo hadi sasa kupitia Mfumo wa M-Kilimo tayari wakulima 1,979,662…
COCOBA KISAKI YAIKOSHA TIMU YA WATAALAM, BENKI YA DUNIA.
Timu ya Wataalam kutoka Benki ya Dunia inayoendelea na kazi yake ya kutadhmini utekelezaji wa mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Kukuza Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW), umevutiwa na…
John McEnroe Ashinda Tennis Serengeti, Watuma Salaam za Pole Hanang
Mcheza Tennis mashuhuri duniani, John McEnroe, ameshinda kwa mara ya kwanza mchezo maalum wa Tennis Serengeti baada ya kumpiku mchezaji mwingine nguli ambaye ni mdogo wake Bw. Patrick McEnroe. Mchezo…
Tanzania na India kuandaa mbio za kudumisha uhusiano
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa India nchini Tanzania, Mhe. Binaya Pradhan ambapo pamoja na mambo mengine viongozi hao…
Klabu ya Yanga yatoa msaada Katesh
Rais wa Young Africans SC na Mwenyekiti wa vilabu vya Soka Barani Afrika (ACA) Mhandisi Hersi said Desemba 5, 2023 ametembelea eneo la mafuriko katika kijiji cha Katesh wilaya ya…
HAKI NDIYO MOYO WA UTAWALA: JAJI SAMATTA
Na FAUSTINE KAPAMA-Mahakama, Dar es Salaam Jaji Mkuu wa Tanzania mstaafu, Mhe. Barnabas Albert Samatta amesema haki ndiyo moyo wa utawala na kamwe haiwezi kutenganishwa na amani ya Nchi. Mhe.…
Waziri Jafo awakabidhi Tuzo ya Uongozi Wanawake Wafugaji
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt Selemani Jafo amekabidhi Tuzo ya ‘Wanawake katika Uongozi’ kwa Baraza la Wanawake Wafugaji (PWC) Tanzania baada ya…
NIGERIA YAPONGEZA SERIKALI YA AWAMU YA SITA
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akisalimiana na Balozi wa Nigeria nchini, Mhe. Hamisu Umar Takamawa alipokuwa akimuga katika Ofisi…
Dk. Mwinyi amewataka wahitimu kuchangia Maendeleo ya nchi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka wahitimu wa vyuo vikuu kutumia elimu zao, kuchangia Maendeleo ya nchi kwa nafasi mbalimbali za taaluma…
Waziri Mkuu ateta na waathirika, nao wanena
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewatembelea watu walioathiriwa na mafuriko ya tope na mawe katika mji mdogo wa Katesh, wilaya ya Hanang, mkoani Manyara na kuwapa salamu za pole kutoka kwa…