Sat. May 16th, 2026

Barabara zafungwa hifadhi ya Ngorongoro

Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) inapenda kuwatangazia wadau wake hususan madereva wa gari za wageni na waongoza watalii (Tour Guides) kuwa, baadhi ya barabara ndani ya Hifadhi hiyo zitafungwa…

Serikali yakemea udanganyifu Handeni

Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu malalamiko ya madai ya kutotendewa haki kwa baadhi ya wananchi waliohama kwa hiyari katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro kwenda katika makazi mapya ya kijiji cha…

Dr Samia kuongoza ibada ya Sokoine

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Samia Suluhu Hassan ataongoza ibada ya kumuombea hayati Waziri Mkuu mstaafu wa tatu katika serikali ya awamu ya kwanza Bw Edward Moringe Sokoine…

Serikali ya Dkt Samia imeikwamua Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Samia Suluhu Hassan ameelekeza kujengwa kwa reli itakayozifika nchi jirani za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,Burundi,Rwanda na Uganda ili kuyafikia masoko ya kikanda…

Dkt Samia avunja rekodi idadi utalii

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imejiandaa kuwasilisha andiko la kitaalamu ili kuonba idhini kwa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu,Sayansi na Utamaduni (UNESCO) ili kupata idhini ya…

BOT yabaini vishoka

Benki Kuu ya Tanzania haitambui taasisi, kampuni na watu binafsiwanaojitangaza kuwa mawakala au washauri elekezi (consultants) wanaotoa huduma yakusaidia waombaji kupata leseni au usajili wa watoa huduma ndogo za fedha,…