Makamu wa Rais awashukia wakandarasi
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla amewataka wakandarasi wanaopewa dhamana ya kujenga Miradi ya Maendeleo Zanzibar kuheshimu Mikataba ya makubaliano wanayokubaliana kati ya Serikali na Kampuni…
TUTAONGEZA KASI ZAIDI YA MAENDELEO KABLA YA UCHAGUZI MKUU-DKT.MWINYI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaongeza kasi zaidi kukamilisha miradi ya maendeleo kupitia utekelezaji wa ilani…
NCAA yazikaribisha Ngorongoro Taasisi na Mashirika yanayopotosha uhamaji kwa hiari
Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) imezitaka baadhi ya taasisi na mashirika yasiyo ya kiserikali kutoka ndani na nje ya nchi kuacha upotoshaji na kutafuta ukweli kuhusu zoezi…
Madaktari wa China watoa mafunzo ya Saratani
TIMU ya 33 ya Madaktari kutoka China, imesema, itaendelea kuwapatia mafunzo wanafunzi wa kada ya afya wa Chuo cha Sayansi za Tiba na wataalamu wa afya ili waweze kutoa huduma…
Dk Mwinyi aanzisha Mfuko wa Hijja
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imekubalina na Serikali ya Saudi Arabia kuwa na akaunti mbili za pamoja chini ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uendeshaji wa safari za…
Wananchi 291,Mifugo 686 wahama Ngorongoro
Kundi la 17 katika awamu ya pili lenye kaya 47, watu 291 na mifugo 686 limehama kwa hiari kutoka hifadhi ya Ngorongoro kwenda Kijiji cha Msomera, Handeni Tanga pamoja na…
Uchangiaji damu hauna mbadala-Mh Waziri
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma amesema Shughuli za uchangiaji damu ni miongoni mwa mambo ya muhimu yanayotakiwa kupewa kipaumbele kutokana na…
Ukosefu wa wanasaikolojia kunachangia ongezeko la kuugua afya ya akili -Naibu Waziri
Naibu Waziri wa Afya Zanzibar,Mhe. Hassan Khamis Hafidh amesema kuwepo kwa wanasaikoljia nchini kutasaidia jamii kuondokana na msongo wa mawazo na kuugua afya ya akili. Akizungumza katika kongamano la wanafunzi…
Ni Fainali ya kisasi ,RS Berkana dhidi ya Zamalek
Mchezo wa pili fainali ya ligi ya Shirikisho Barani Afrika unazikutanisha tena timu za RS Berkane na Zamalek ya Misri,utachezwa siku ya Jumapili jijini Cairo,huku timu ya Zamalek ikiwa imepoteza…
SERIKALI YATENGA BILIONI ZAIDI YA 80 MATIBABA UBINGWA NA UBINGWA BOBEZI.
Na WAF, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imetenga kiasi cha shilingi 89,858,609,000 kwa ajili ya kuimarisha huduma za Matibabu ya Ubingwa na Ubingwa Bobezi hapa nchini kwa mwaka wa…









