MAMIA WAHAMA HIFADHI YA NGORONGORO
Na Mwandishi wetu, Ngorongoro Muitikio wa wananchi wanaoishi katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro kuendelea kuhama kwa hiari umepamba moto ambapo leo tarehe 22 Agosti, 2024 jumla ya kaya 79…
Watalii wanaendelea kushuhudia vivutio Ngorongoro-NCCA
Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro (NCCA) imesema shughuli za utalii katika hifadhi hiyo zinaendelea kama kawaida licha ya kuripotiwa maandamano ya amani kwa baadhi ya wananchi wanaoishi katika hifadhi hiyo.…
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 27 Novemba
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania Bara utafanyika kwa wagombea wa nafasi mbalimbali ikiwemo za Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa,Mwenyekiti wa kijiji,Mwenyekiti wa Kitongoji,wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji (kundi mchanganyiko…
Nunueni mtambo wa kuchomea taka-Makamu wa Rais
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh Hemed Suleiman Abdulla ameuagiza Uongozi wa Hospital ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba kuhakikisha ndani ya kipindi cha mwezi mmoja wamenunua mtambo mpya…
Serikali haijaondoa zuio la ukamataji wa wanyampori hai-NCAA
Na Mozah Salum Mamlaka ya hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) imekanusha taarifa iliosambaa katika baadhi ya mitandao ya kijamii ya kusafirishwa wanyamapori hai kwa ndege kubwa kwenda moja ya…
Uoto wa asili unapungua visiwani Zanzibar-Waziri
Jamii imetakiwa kushiriki katika kupanda na kusimamia miti inayopandwa ili kuimarisha uchumi wa kijani kwa faida ya sasa na kizazi kijavyo. Wito huo umetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya…
UNESCO WAHITIMISHA ZIARA YA KUKAGUA MAENEO YA HIFADHI YA JIOLOJIA YA NGORONGORO LENGAI UNESCO GLOBAL GEOPARK.
Na Kassim Nyaki, NCAA. Wataalamu wa UNESCO waliowasili nchini mapema wiki hii kwa ajili ya uthibitishaji upya (Revalidation) wa Hifadhi ya kijiolojia ya “Ngorongoro Lengai UNESCO Global Geopark” na kutembelea…
Pandeni miti mkisheherekea siku za kuzaliwa
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amewasisitiza Watanzania kuwa na utamaduni wa kupanda miti ili kutunza mazingira. Ametoa wito huo wakati wa…
Mitawi: Mradi wa EMA utaongeza uwezo wa kuimarisha uzingatiaji wa Sheria ya Mazingira
Kamati ya Usimamizi wa Mradi wa Kuimarisha Uwezo wa Kitaasisi wa Utekelezaji wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira (EMA) imekutana kwa ajili ya kupitia taarifa za utekelezaji wa mradi huo.…
WANYAMA WAKALI TISHIO KWA WANANCHI WANAOISHI HIFADHI YA NGORONGORO.
Na Mwandishi wetu, Ngorongoro. Wananchi wa tarafa ya Ngorongoro wilayani Ngorongoro wameendelea kuishi maisha magumu kutokana na Kushambuliwa na wanyama wakali kufuatia matukio yanayoendelea kutokea katika eneo hilo. Afisa tarafa…









