Kamati ya Kudumu ya Bunge yaridhia utendaji taasisi ya elimu.
Na Timoth Anderson Kamati ya kudumu ya Bunge ya Elimu,Utamaduni na Michezo imeridhishwa na utekelezaji na usimamizi wa programmu na miradi mbalimbali inayotekelezwa na Taasisi ya Elimu ya watu Wazima…