Ofisi Ya Makamu Wa Rais, Iucn Wakutana Na Kamati Za Maliasili Na Mazingira Za Vijiji 31
Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira (IUCN) imeendesha mafunzo kwa kamati za maliasili na mazingira za vijiji 31 kutoka Kata 10…