Nchimbi ahimiza ushirikiano kukabili mazingira
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ametoa wito kwa Wizara zinahusiana na Sekta ya Mazingira, kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuwa na mpango…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ametoa wito kwa Wizara zinahusiana na Sekta ya Mazingira, kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuwa na mpango…
Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi imeeleza kuwa Ndugu Luhaga Joelson Mpina na Ndugu Fatma Abdulhabib Ferej si wagombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya…
Klabu ya Pan African ya jijini Dar es Salaam imefanya dua maalum kwa ajili ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, siku moja baada…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa madhehebu ya dini nchini kuendelea kuliombea Taifa ili kudumisha amani na utulivu uliopo pamoja na…
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ubeligiji nchini Tanzania, Mhe. Peter Huyghebaert, ambapo wamezungumza kuhusu kuendeleza ushirikiano wa kimaendeleo kati…
Kamishna wa Uhifadhi, Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA), Bw. Abdul-Razaq Badru ameungana na viongozi wengine walioteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungaano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu…
Dar es Salaam(Juni 09, 2025,)Madaktari Bingwa wa Rais Samia pamoja na kutoa huduma za kibingwa kwa wananchi pia wametakiwa kuwajengea uwezo wataalam wanaowakuta kwenye vituo walivyopangiwa. Mkuu wa Wilaya ya…
Dodoma -Juni 4 2025 (Mfanyakazi) Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha bajeti ya Wizara ya Fedha kwa Mwaka wa Fedha 2025-2026 ya kiasi cha Sh. trilioni 20.19 kwa…
Dodoma (Mfanyakazi). Serikali imeeleza kuwa inaendelea kuchukua hatua madhubuti za kuhakikisha wananchi wasio na uwezo wanapata huduma za afya bila kikwazo cha fedha, kwa mfumo utakaofanana na utoaji wa elimu…
Mtoto wa aliyekuwa Waziri Mkuu,Mstaafu hayati,Edward Moringe Sokoine,ndugu Namelock Edward Sokoine amechaguliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa(NEC) kuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa. Taarifa iliyotolewa…