Wed. Jun 10th, 2026

Author: Na, Mwandishi wetu

TUSIWAFICHE WATOTO WENYE USONJI- DKT. MOLLEL

NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ametoa wito kwa wananchi kutowaficha watoto wenye changamoto ya Usonji (autism) kwani wakipata malezi na mafunzo mazuri watasaidia kuleta matokeo chanya katika jamii.…