Klabu ya Yanga yatoa msaada Katesh
Rais wa Young Africans SC na Mwenyekiti wa vilabu vya Soka Barani Afrika (ACA) Mhandisi Hersi said Desemba 5, 2023 ametembelea eneo la mafuriko katika kijiji cha Katesh wilaya ya…
Rais wa Young Africans SC na Mwenyekiti wa vilabu vya Soka Barani Afrika (ACA) Mhandisi Hersi said Desemba 5, 2023 ametembelea eneo la mafuriko katika kijiji cha Katesh wilaya ya…
Na FAUSTINE KAPAMA-Mahakama, Dar es Salaam Jaji Mkuu wa Tanzania mstaafu, Mhe. Barnabas Albert Samatta amesema haki ndiyo moyo wa utawala na kamwe haiwezi kutenganishwa na amani ya Nchi. Mhe.…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt Selemani Jafo amekabidhi Tuzo ya ‘Wanawake katika Uongozi’ kwa Baraza la Wanawake Wafugaji (PWC) Tanzania baada ya…
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akisalimiana na Balozi wa Nigeria nchini, Mhe. Hamisu Umar Takamawa alipokuwa akimuga katika Ofisi…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka wahitimu wa vyuo vikuu kutumia elimu zao, kuchangia Maendeleo ya nchi kwa nafasi mbalimbali za taaluma…
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewatembelea watu walioathiriwa na mafuriko ya tope na mawe katika mji mdogo wa Katesh, wilaya ya Hanang, mkoani Manyara na kuwapa salamu za pole kutoka kwa…
Na Timoth Anderson Kamati ya kudumu ya Bunge ya Elimu,Utamaduni na Michezo imeridhishwa na utekelezaji na usimamizi wa programmu na miradi mbalimbali inayotekelezwa na Taasisi ya Elimu ya watu Wazima…
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo (Jumanne, Desemba 5, 2023) ameshuhudia kazi ya kusomba matope kwenye mji mdogo wa Katesh, wilayani Hanang, mkoani Manyara, ikianza kwenye barabara kuu ya kutoka Babati…
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema idadi ya watu waliokufa kutokana na maporomoko ya udongo wilayani Hanang, mkoani Manyara imefikia 63 na majeruhi 116. “Kati ya waliofariki wanaume ni 23 na…
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande, akizungumza na wahitimu wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) wakati wa Mahafali ya 49 ya chuo hicho yaliyofanyika, jijini Dar es…