Wahitimu wa CBE waaswa kujiepusha Madawa ya kulevya
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashill Abdallah ametoa wito kwa wahitimu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kujiepusha na tabia hatarishi , makundi yasiyofaa ikiwemo matumizi…
DKT. MADUHU AWAKILISHA MKUTANO WA BARAZA LA IOM
NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Maduhu Kazi (kushoto), akiwa na Balozi na Naibu Mwakilishi wa Kudumu Geneva, Hoyce Temu katika Mkutano wa 114 wa…
Wadau waendelea kujitokeza kuchangia Maafa Hanang’
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama ameelekeza watendaji wa Idara ya Menejimenti ya Maafa katika ofisi hiyo kuhakikisha wanaweka utaratibu wa kimfumo…
Witness Technological History in the Making
What’s possible in a week? If you dedicated seven days to the achievement of one goal, how ambitious could you make this goal? These were the questions that the multilingual…
Kikwete,Frigenti wakutana na Waziri wa Elimu
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE), Mhe.Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu…
Serikali yachukua hatua za awali kukabili maafa Hanang’ Manyara
SERIKALI kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu imechukua hatua za haraka kwa wahanga wa maafa yaliyosababishwa na maporomoko ya tope yaliyotokea tarehe 03 Disemba, 2023 ambapo yalitoka…
Ofisi Ya Makamu Wa Rais, Iucn Wakutana Na Kamati Za Maliasili Na Mazingira Za Vijiji 31
Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira (IUCN) imeendesha mafunzo kwa kamati za maliasili na mazingira za vijiji 31 kutoka Kata 10…
Uwajibikaji katika Uandishi wa Habari Unasaidia kuleta Mapinduzi katika Kilimo na Kulinda Usalama wa Chakula
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema serikali inatambua mchango wa Wanahabari unaosaidia kutangaza teknolojia zinazochangia katika mabadiliko endelevu ya Kilimo Barani Afrika. Prof. Mkenda ametoa kauli…
Wananchi Katesh, waishukuru serikali kwa vifaa vya msaada wa kibinadamu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama amesema misaada yote inayotolewa na wadau mbalimbali itawafikia walengwa walioathirika wa poromoko ya matope kutoka Mlima…
Rais Dkt. Samia ataka mikakati kuwawezesha wanawake kibiashara
MHESHIMIWA Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka washiriki wa kongamano Pili la Wanawake katika Biashara ndani ya Eneo Huru la Biashara Barani Afrika kujadili namna ya kuwezesha ushiriki imara wa…