Sun. Jun 15th, 2025

Makamu wa Rais awashukia wakandarasi

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla amewataka wakandarasi wanaopewa dhamana ya kujenga Miradi ya Maendeleo Zanzibar kuheshimu Mikataba ya makubaliano wanayokubaliana kati ya Serikali na Kampuni…

Dk Mwinyi aanzisha Mfuko wa Hijja

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imekubalina na Serikali ya Saudi Arabia kuwa na akaunti mbili za pamoja chini ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uendeshaji wa safari za…