Dkt Samia kusikiliza kero za wananchi kila mwezi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Dkt Samia Suluhu Hassan ameamua kuweka utaratibu wa kuwasilikiliza na kutatua kero mbalimbali zinazowakabiri wananchi bila ya ubaguzi katika ofisi ndogo ya Chama…