MBEYA YASHIRIKI KAMPENI YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA MITANDAONI
Mwinga Mpoli – Mahakama, Mbeya Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Mbeya, Mhe. Dustan Ndunguru amewakumbusha wadau juu ya makosa yanayotendeka kimtandao na kuwa nchi ilitunga sheria…