MAJERUHI WA MAFURIKO YA HANANG WOTE WAMETIBIWA MANYARA BILA YA RUFAA.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Tulia Ackson ameipongeza Serikali kupitia Wizara ya Afya kwa uboreshaji wa huduma za afya nchini na kufanya majeruhi wote…
WATUMISHI WAHIMIZWA KUSHUGHULIKIA MFUMO WA e-MREJESHO
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. Xavier Daudi amesema mafunzo ya kutumia mfumo wa e-Mrejesho ni ajenda na kiashiria muhimu cha matumizi ya TEHAMA…
MBEYA YASHIRIKI KAMPENI YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA MITANDAONI
Mwinga Mpoli – Mahakama, Mbeya Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Mbeya, Mhe. Dustan Ndunguru amewakumbusha wadau juu ya makosa yanayotendeka kimtandao na kuwa nchi ilitunga sheria…
Vilabu vya ligi kuu vyatakiwa kuwa na bima
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amelielekeza Baraza la Michezo la Taifa “BMT” kuhakikisha kuwa ifikapo Januari, 2024 kila klabu ya ligi kuu ya NBC iwe…
WAZIRI UTAWALA BORA AHIMIZA KUZUIA RUSHWA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora-Mhe. George Simbachawene (MB), amefungua Jukwaa la Kitaifa la Wadau wa Juhudi Dhidi ya Rushwa lililofanyika Jijini…
TAKUKURU NA TET YASAINI MOU
Oktoba 18, 2023, Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU CP. Salum Rashid Hamduni pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania – TET Dkt Aneth Komba, wamesaini MoU ya kushirikiana kuzuia…
RAIS SAMIA KUTOA UJUMBE WA MIAKA 62 YA UHURU MKUTANO MKUU WA DIRA YA MAENDELEO YA TAIFA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kutoa ujumbe maalum katika kuadhimisha miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania katika Mkutano Mkuu wa Kwanza wa…
“UNYANYASAJI WA KIJINSIA HAUNA NAFASI KATIKA NCHI YETU” DKT. CHANA
Na William Mabusi – WKS Dodoma Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) amesema Tanzania inaweza kusonga mbele na kushinda vita dhidi ya Ukatili wa Kijinsia…
NCHI IKITAWALIWA NA RUSHWA HAIWEZI KUFIKIA MALENGO-BI. MAKONDO
Na William Mabusi – WKS Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Mary Makondo amezitaka Taasisi za Serikali na Sekta Binafsi kuweka mazingira ya kuzuia rushwa, kuepuka…
WAZIRI GWAJIMA AKAGUA FUKWE NA VITUO VYA MASAJI KUBAINI VICHOCHEO VYA MMOMONYOKO WA MAADILI
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amewaomba viongozi wa Mamlaka za Mikoa na Serikali za Mitaa zenye fukwe nchini kuhakikisha wanafuatilia na…