Wanaoishi na maradhi ya kuambukiza wafanyiwe uchunguzi wa maradhi yasiyoambukiza-Mbatia
Mashirikiano ya pamoja baina ya wadau wa afya nchini yatasaidia kuleta mabadiliko ya huduma za afya kwa wagojwa wanaoishi na maradhi ya kuambuzi pamoja na maradhi yasioambukiza. Mkurugenzi wa Tanzania…
Tupige vita ndoa za utotoni-Mhe Waziri
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe.Riziki Pembe Juma ameelezea jukumu la kumlinda mtoto juu ya matukio mbalimbali ya ukatili sio la Serikali pekee bali ni la…
Dkt Pindi asisitiza usalama wa hifadhi ya Ngorongoro
Wizara ya Maliasili na Utalii imeielekeza menejimenti ya Hifadhi ya Ngorongro (NCAA) kuendelea kutekeleza jukumu la kuwaelimisha wananchi ili wahame kwa hiari kwa ajili ya kuimarisha shughuli za uhifadhi na…
Makamu wa Rais aagiza udhibiti Tasaf
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla amewataka watendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF kuhakikisha fedha zinazotolewa kwa ajili ya wananchi zinalindwa na kutumika ipasavyo…
MAMIA WAHAMA HIFADHI YA NGORONGORO
Na Mwandishi wetu, Ngorongoro Muitikio wa wananchi wanaoishi katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro kuendelea kuhama kwa hiari umepamba moto ambapo leo tarehe 22 Agosti, 2024 jumla ya kaya 79…
Watalii wanaendelea kushuhudia vivutio Ngorongoro-NCCA
Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro (NCCA) imesema shughuli za utalii katika hifadhi hiyo zinaendelea kama kawaida licha ya kuripotiwa maandamano ya amani kwa baadhi ya wananchi wanaoishi katika hifadhi hiyo.…
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 27 Novemba
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania Bara utafanyika kwa wagombea wa nafasi mbalimbali ikiwemo za Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa,Mwenyekiti wa kijiji,Mwenyekiti wa Kitongoji,wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji (kundi mchanganyiko…
Nunueni mtambo wa kuchomea taka-Makamu wa Rais
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh Hemed Suleiman Abdulla ameuagiza Uongozi wa Hospital ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba kuhakikisha ndani ya kipindi cha mwezi mmoja wamenunua mtambo mpya…
Tumieni mikopo ya PBZ,achaneni na kausha damu-Mhe Dkt Tulia
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Tulia Ackson amewataka wananchi wa mkoa wa Mbeya kuendelea kutumia Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) kwa lengo la…
Serikali haijaondoa zuio la ukamataji wa wanyampori hai-NCAA
Na Mozah Salum Mamlaka ya hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) imekanusha taarifa iliosambaa katika baadhi ya mitandao ya kijamii ya kusafirishwa wanyamapori hai kwa ndege kubwa kwenda moja ya…