Vijana 812 waliochaguliwa kujiunga katika programu ya BBT-YIA awamu ya kwanza watajwa
Wizara ya Kilimo leo Februari 23, 2023 Jijini Dodoma imetangaza awamu ya kwanza ya majina 812 ya vijana waliochaguliwa kujiunga katika programu ya Building Better Tomorrow: Youth Initiative in Agribusiness…