Wananchi 291,Mifugo 686 wahama Ngorongoro
Kundi la 17 katika awamu ya pili lenye kaya 47, watu 291 na mifugo 686 limehama kwa hiari kutoka hifadhi ya Ngorongoro kwenda Kijiji cha Msomera, Handeni Tanga pamoja na…
Kundi la 17 katika awamu ya pili lenye kaya 47, watu 291 na mifugo 686 limehama kwa hiari kutoka hifadhi ya Ngorongoro kwenda Kijiji cha Msomera, Handeni Tanga pamoja na…
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma amesema Shughuli za uchangiaji damu ni miongoni mwa mambo ya muhimu yanayotakiwa kupewa kipaumbele kutokana na…
Naibu Waziri wa Afya Zanzibar,Mhe. Hassan Khamis Hafidh amesema kuwepo kwa wanasaikoljia nchini kutasaidia jamii kuondokana na msongo wa mawazo na kuugua afya ya akili. Akizungumza katika kongamano la wanafunzi…
Mchezo wa pili fainali ya ligi ya Shirikisho Barani Afrika unazikutanisha tena timu za RS Berkane na Zamalek ya Misri,utachezwa siku ya Jumapili jijini Cairo,huku timu ya Zamalek ikiwa imepoteza…
Na WAF, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imetenga kiasi cha shilingi 89,858,609,000 kwa ajili ya kuimarisha huduma za Matibabu ya Ubingwa na Ubingwa Bobezi hapa nchini kwa mwaka wa…
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) inapenda kuwatangazia wadau wake hususan madereva wa gari za wageni na waongoza watalii (Tour Guides) kuwa, baadhi ya barabara ndani ya Hifadhi hiyo zitafungwa…
Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu malalamiko ya madai ya kutotendewa haki kwa baadhi ya wananchi waliohama kwa hiyari katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro kwenda katika makazi mapya ya kijiji cha…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Samia Suluhu Hassan ataongoza ibada ya kumuombea hayati Waziri Mkuu mstaafu wa tatu katika serikali ya awamu ya kwanza Bw Edward Moringe Sokoine…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Samia Suluhu Hassan ameelekeza kujengwa kwa reli itakayozifika nchi jirani za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,Burundi,Rwanda na Uganda ili kuyafikia masoko ya kikanda…
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imejiandaa kuwasilisha andiko la kitaalamu ili kuonba idhini kwa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu,Sayansi na Utamaduni (UNESCO) ili kupata idhini ya…