Tanzania na Romania zimetia saini Hati mbili za makubaliano moja ikihusu kukuza
ushirikiano wa kiuchumi kisayansi na kiufundi katika sekta ya kilimo na mazingira.
Utekelezaji wa fursa zilizopo utajikita katika maeneo ya sekta za afya na utengenezaji wa dawa,
kubadilishana uzoefu katika sekta ya kilimo ikiwemo usindikaji wa mazao na kukabiliana na majanga