Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan amemvua hadhi ya ubalozi aliyekuwa balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dr Wilbroad Peter Slaa
Taarifa ya Kurugenzi ya mawasiliano ya Rais,Ikulu haikuweka wazi sababu ya kuondolewa hadhi hiyo.ingawa imetaja tarehe rasmi ya kuondolewa hadhi hiyo.