Tumieni mikopo ya PBZ,achaneni na kausha damu-Mhe Dkt Tulia
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Tulia Ackson amewataka wananchi wa mkoa wa Mbeya kuendelea kutumia Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) kwa lengo la…
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Tulia Ackson amewataka wananchi wa mkoa wa Mbeya kuendelea kutumia Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) kwa lengo la…
Na Mozah Salum Mamlaka ya hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) imekanusha taarifa iliosambaa katika baadhi ya mitandao ya kijamii ya kusafirishwa wanyamapori hai kwa ndege kubwa kwenda moja ya…
Na Mwandishi wetu, Ngorongoro. Wananchi wa tarafa ya Ngorongoro wilayani Ngorongoro wameendelea kuishi maisha magumu kutokana na Kushambuliwa na wanyama wakali kufuatia matukio yanayoendelea kutokea katika eneo hilo. Afisa tarafa…
Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) imezitaka baadhi ya taasisi na mashirika yasiyo ya kiserikali kutoka ndani na nje ya nchi kuacha upotoshaji na kutafuta ukweli kuhusu zoezi…
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imekubalina na Serikali ya Saudi Arabia kuwa na akaunti mbili za pamoja chini ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uendeshaji wa safari za…
Kundi la 17 katika awamu ya pili lenye kaya 47, watu 291 na mifugo 686 limehama kwa hiari kutoka hifadhi ya Ngorongoro kwenda Kijiji cha Msomera, Handeni Tanga pamoja na…
Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu malalamiko ya madai ya kutotendewa haki kwa baadhi ya wananchi waliohama kwa hiyari katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro kwenda katika makazi mapya ya kijiji cha…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Samia Suluhu Hassan ataongoza ibada ya kumuombea hayati Waziri Mkuu mstaafu wa tatu katika serikali ya awamu ya kwanza Bw Edward Moringe Sokoine…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Samia Suluhu Hassan ameelekeza kujengwa kwa reli itakayozifika nchi jirani za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,Burundi,Rwanda na Uganda ili kuyafikia masoko ya kikanda…
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imejiandaa kuwasilisha andiko la kitaalamu ili kuonba idhini kwa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu,Sayansi na Utamaduni (UNESCO) ili kupata idhini ya…