Sun. Jun 15th, 2025

Taasisis ya Moyo Jakaya Kiikwete(JKCI) kwa kushirikasiana na Hospitali ya Siha iliyopo mkoani kiliman#jaro watatoa huduma ya tiba mkoba ijulikanayo kuwa Dtk Samia Suluhu Hassan Outreach Services kwa kufanya upimaji na matibabu ya magonjwa ya Moyo kwa wananchi wa wilaya ya Siha na wilaya jirani.

Upimaji huo utafanyika mwezi huu katika viwanja vya hospitali ya Siha na kuwashirikisha madaktari bingwa ambao wataambana na watalaamu wa lishe katika kutoa elimu juu hya lishe bora inayoweza kuepusha visababishi vya magonjwa ya moyo kwa watoto na watu wazima .