Uoto wa asili unapungua visiwani Zanzibar-Waziri
Jamii imetakiwa kushiriki katika kupanda na kusimamia miti inayopandwa ili kuimarisha uchumi wa kijani kwa faida ya sasa na kizazi kijavyo. Wito huo umetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya…
Jamii imetakiwa kushiriki katika kupanda na kusimamia miti inayopandwa ili kuimarisha uchumi wa kijani kwa faida ya sasa na kizazi kijavyo. Wito huo umetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya…
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amewasisitiza Watanzania kuwa na utamaduni wa kupanda miti ili kutunza mazingira. Ametoa wito huo wakati wa…
Kamati ya Usimamizi wa Mradi wa Kuimarisha Uwezo wa Kitaasisi wa Utekelezaji wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira (EMA) imekutana kwa ajili ya kupitia taarifa za utekelezaji wa mradi huo.…
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo (Jumanne, Desemba 5, 2023) ameshuhudia kazi ya kusomba matope kwenye mji mdogo wa Katesh, wilayani Hanang, mkoani Manyara, ikianza kwenye barabara kuu ya kutoka Babati…
Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira (IUCN) imeendesha mafunzo kwa kamati za maliasili na mazingira za vijiji 31 kutoka Kata 10…
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amewaomba viongozi wa Mamlaka za Mikoa na Serikali za Mitaa zenye fukwe nchini kuhakikisha wanafuatilia na…
Mwandishi wetuDubai Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ameshiriki katika kikao cha Mabadiliko ya tabia nchi na Afya ngazi ya Mawaziri wa Afya kutoka nchi wanachama wa Shirika la Afya Duniani.…
Tanzania na Romania zimetia saini Hati mbili za makubaliano moja ikihusu kukuzaushirikiano wa kiuchumi kisayansi na kiufundi katika sekta ya kilimo na mazingira. Utekelezaji wa fursa zilizopo utajikita katika maeneo…