JERRY SILAA AYATAKA MABARAZA YA ARDHI YA KATA KUZINGATIA MABADILIKO YA SHERIA USULUHISHI WA MIGOGORO YA ARDHI
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Slaa ameyataka Mabaraza ya Ardhi ya Kata kuzingatia mabadiliko ya Sheria namba tatu ya mwaka 2021 inayoyataka Mabaraza hayo kufanya kazi…