WAZIRI SILAA ATOA SIKU SABA KUMALIZA KERO YA URASIMISHAJI DAR ES SALAAM
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Jerry Silaa ametoa siku saba kupatikana suluhu ya changamoto za urasimishaji makazi holela wa makazi katika mkoa wa Dar es Salaam.…