Sun. Jun 15th, 2025

Category: Afya

Afya

Uchangiaji damu hauna mbadala-Mh Waziri

Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma amesema Shughuli za uchangiaji damu ni miongoni mwa mambo ya muhimu yanayotakiwa kupewa kipaumbele kutokana na…

100 WENYE SARATANI 25 WANAWAKE

Na. WAF – Dar Es Salaam Serikali imetoa rai kwa jamii kuchukua hatua za mapema kupima ugonjwa wa Saratani kwa kuwa takwimu zinaonesha kuwa katika kila wagonjwa watu 100 wenye…

JKCI kutibu magonjwa ya Moyo bure Siha

Taasisis ya Moyo Jakaya Kiikwete(JKCI) kwa kushirikasiana na Hospitali ya Siha iliyopo mkoani kiliman#jaro watatoa huduma ya tiba mkoba ijulikanayo kuwa Dtk Samia Suluhu Hassan Outreach Services kwa kufanya upimaji…

TUSIWAFICHE WATOTO WENYE USONJI- DKT. MOLLEL

NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ametoa wito kwa wananchi kutowaficha watoto wenye changamoto ya Usonji (autism) kwani wakipata malezi na mafunzo mazuri watasaidia kuleta matokeo chanya katika jamii.…